Wednesday, December 1, 2010

BIBLE VS CELL PHONE

Nzuriiii nimeipenda tujaribu tuone mshindi nitampa zawadi.

VS



Ever wonder what would happen if we treated our Bible like we treat our cell phone?

What if we carried it around in our purses or pockets?
 What if we flipped through it several time a day?
 What if we turned back to go get it if we forgot it?
 What if we used it to receive messages from the text?
 What if we treated it like we couldn't live without it?
 What if we gave it to Kids as gifts?
 What if we used it when we traveled?
 What if we used it in case of emergency?
 This is something to make you go....hmm...where is my Bible?

Oh, and one more thing.
Unlike our cell  phone, we don't have to worry about our Bible being
Disconnected because Jesus already paid the  bill.
Makes you stop and think 'where are my priorities? And no dropped calls!
When Jesus died for us, he was thinking of you!
 
Namshukuru sana aliyenitumia hii Mungu ambariki kwani kama tungefanya kama hapo inavyoshauri kusema kweli tungekuwa watu wa tofauti kabisa. (Biblia inasema Kiumbe cha tofauti) Hebu mimi na wewe tujaribu kufanya hivyo kuanzia leo kwa siku mbili tu tuone inakuwaje. Hii sasa hata wakisema tuma kwa watu mia moja tuma itamsaidia mtu huwezi kujua ya Mungu mengi kwani kuna watu simu ndio Mungu wao, chakula, maji, uhai na hata pumzi bila simu hawasongi, tuwasaidie jamani kwani ni kifungo na ndicho shetani alichoshikilia watu kwa sasa.

Kusema kweli nimeipenda barikiwa sana Kaka na Mungu azidi kukutangulia katika maisha yako yote.

Kwa ambaye anaweza kutranslate kwa Kiswahili jamani anisaidie ili na wengine wapate kufaidika.